Machozi Ya Furaha-LADY JAYDEE

Machozi Ya Furaha

歌手:LADY JAYDEE

专辑:Machozi

时间:2013-01-14

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
猜你喜欢的歌曲
歌词

Machozi Ya Furaha - LADY JAYDEE

Lyricist:Unknown

Composer:Unknown

Nakupenda mpenzi wa maisha maisha aaah

Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni

Kuwa wako mwenzi wa maisha katu hayatoisha

Toka moyoni mwangu nimekuchagua wee uwe wangu

Vipingamizi vingi waliweka

Asante mola tumevuka tu pamoja sasa

Wenye kusema waache waseme nakupenda wanipenda

Furaha twaidumisha nitakuwa wako maisha we u wangu kabisa

Siku yangu imefika imefika aaah na mimi moyoni

Nina furaha tele moyoni

Kukupata mwenzi wa maisha

Nami naahidi nitakupa vyote

Tangu sasa hata milele

Siku yangu imefika imefika aaah aah

Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni

Furaha furaha furaha tele moyoni

Furaha furaha furaha tele moyoni

Mmmhhhh

Uuuhh ulala lala lala lalala oooh

Uuuuh woh woh woh iiihh iiiiih iiih

Uuuuuuuh huh

Ulala lala lalaa aaah uuuh aahh oooh la lala lala

Natoa machozi ya furaha furaha furaha

Kwani penzi letu limekwisha ota mizizi

Umekuwa wangu la azizi

Nami naamini tutaishi sote tutapita na pande zote

Nimekuwa wako mahabuba

Kaeni kando acheni pupa tutapita kote

Pande zote mahali pote

Wenye kusema na waseme

Nakupenda wanipenda

Umekuwa wangu wa maisha wa maisha aah maisha

Mmmhhh

Uuuh uhhh ulala lala lala lala laa

Ninalo penzi la milele moyoni mwangu

Ninatoa machozi ya furaha aaah

Yeeeh nina furaha ninalo penzi la milele

Uuuh aaaah

Mhhhhhhhh

展开显示全部歌词