Amani-Frida Amani

Amani

歌手:Frida Amani

专辑:Amani

时间:2025-03-21

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
歌词

Hello what a morning?

Blessings kwa Jah tuko alive, we are lucky

I’ve seen war, I’ve seen pain, are we lucky?

World full of tears can’t explain, Kids are dying unlucky

Sad, sad world money politics and fame, Tumesahau nini humanity,

Freedom! freedom!

Are we free?

Are you free?

They say peace is priceless but the price is so high

Imekuwa ngumu kuwa hai

Not that the other high,

Bado nipo nawaza why?

Poverty! Poverty! it’s getting rich or dying trying,

Thamani haipo kwenye utu, watu wanataka maslahi,

Kill people for power and power kills people,

Balance has disappeared wapi amani ilipo?,

Justice is the solution but the conclusions are injustice,

Politicians wako polluted uongo wanaufanyia practice,

Baada ya tuu wa kuwachagua namba zetu zinawekwa Blacklist,

Tusigombane kuwafurahisha wagombea,

Tupendane hizo ndiyo blocks za kujengea,

Amani, amani, amani

Amani amani amani yeeeeeeee amani amani x 2

Hakuna haja kuwa political

let’s just be logical

Kwenye njaa na shida ya maji vipi upeleke silaha?

Kwenye ujinga na maradhi vipi upeleke tamaa?

Kwenye haya maneno yangu kuna tumaini limejaa,

Sifanyi hii kwa ajili yangu tuu, ikikugusa ukishare na mwengine itafaa,

Tuvumiliane hiyo ndiyo miguu ya kujongea,

Tushikamane tukifika juu hatutapotea,

Tukiwa wengi kila jaribu litangoja,

Mabadiliko huanza na mtu mmoja mmoja,

Mimi, wewe, yule, sisi sote kwa Pamoja,

Tuungade kudumisha tunu hii mara moja,

So, here I pray for my Nation and its people

I don’t pray for money, fame kuvipata ni simple

Nilipo, ninatamani Frida huyu asibaki the same,

Niwepo nisiwepo remember my Surname…………………………Amani

Amani, amani, amani

Amani amani amani yeeeeeeee amani amani x 2

展开显示全部歌词