Unaua Vibe (Remix)-Rapcha

Unaua Vibe (Remix)

歌手:Rapcha

时间:2021-09-24

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
歌词

Nikapatana na mchizi

Akanishow vile ameomoka

Nikamshow basi alipe bill tukiondoka

Kwanza sikuamini ile mtaa anapotoka

Saa za mechi mi nacheki jo boxer imetoboka

Haina issue nikaona wacha nimpe vitu

Nikavua mini ndo acheki ka see through

Leo kiuno nitampea na mchezo wa kati

Lakini nashindwa wapi mti kwenye huu msitu?

Ikiwa hawezi amsha nikaona wacha tulale

Labda mida yake masaa yatadunga mshale

Masaa yake mi naskia naguzwa --

Kumbe Dah sio mchizi ni bonge la kunguni

I say unaua vibe unaua

Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua

Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua

Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua

Unaua vibe unanikata steam

Kaniona fresh akaja rest

Nikupe company mi nikasema yes

Kaniomba hug tu mi nikaona sio kesi

Harufu ya kwapa dada mbona sio fresh?

Ukinigee chuna usiniletee noma

Tunachat utamu unascreenshot, we koma

Najipenda kinoma usiniletee homa

Yaani tumepuna macorona uniletee ngoma

Mademu wa mjini kavu muulize brother babu

Tumia kinga ukishaona kachora ink ya tattoo

Ukidata fasta na make up itakucosti

Akinawa uso inabaki sura ya passpoti

I say unaua vibe unaua

Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua

Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua

Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua

Unaua vibe unanikata steam

Nishapata dem juzi namarinate kejani

Kaniguarantee doshi inadoz ndani

Pilka pilka ya kuteremsha toja

Boy wangu kwa mlango anagonga

Anyways ni Friday nimelipa

Na kuna dem flani nimealika

Uchi hata CD nimevaa

Niko ready kucum anadai --

Juzi tu si nimepiga kura

Washaingia ofisini ni pesa ninakula

Washauza nchi sasa watakinda nini

Ni sisi yaani nyinyi, wajinga nyinyi

Unaua, unanikata steam

Unaua, unanikata steam

Unaua, unanikata steam

Unaua, unanikata steam

Ametinga kinoma

Mwache acheze ajimwage

Tinga kinoma

Dj tena idondoshe

展开显示全部歌词