Natamba - Aslay
Natamba natamba aaa
Kilicho nishawishi upole wako na heshima yako
Wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako
Sura yako ya upole inanivutia
Shepu Twiga mwenda pole najivunia
Oh tupeane mapenzi iwachom eeeee
Nakama namba waisom eeeee
Hata tukigombana wasion eeeee
Washike jembe wakalim eeeee
Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana
Usizidishe washauri watasababisha tuje kugombana
Aaaaae
Aaaaae angalia shepu
Aaaaae
Ka-Wema Sepetu
Aaaaae angalia jicho
Aaaaae
Hamissa Mobetto
Aaaaae Karangi kake
Aaaaae
Elizabeth Michael
Aaaaae Yani we mrembo aaaaae
Walah nachukua jiko
We ndio wangu wa milele
Nauza dagaa ili ninunue motorcar nikuridhishe
Unanipa furaha na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe
Unanyota ya Adam na Hawaohooo
Tunavyopendana
Hata wakituchukia ni sawa ohooo
Tuaminie Mama
Wanaona umenipa dawa ohooo
Wanaongea sana
Chunga usije kuota mbawa ohooo
Ukaniachaga kilema
Katabiri pweza penzi litafika mbali
Nacheka kiingerza
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali
Jamani
Katabiri pweza penzi litafika mbali
Kwakweli hamtoweza
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali
Basi baby nikumbatie mama
Angalia shepu
Aaaaae
Puatiye
Ka-Wema Sepetu
Aaaaae
Angalia jicho
Aaaaae
Hamissa Mobetto
Aaaaae
Karangi kake
Aaaaae
Elizabeth Michael
Aaaaae
Yani we mrembo
Aaaaae
Walah nachukua jiko
We ndio wangu wa milele milelee