MoroBuzz Episode Three - Kwa Mkomola-Fredrick Mulla

MoroBuzz Episode Three - Kwa Mkomola

时间:2024-04-30

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
歌词

Hawakutuamini lakini Jehov did

Namuogopa Mungu si nyinyi sio Covid

Na hii ni kwa wote wanaotaka ku compete

Ukimtoa Chidi mi ndo chuma ndani ya concrete

Nipo kwenye mission bado sijacomplete

Asante Baba for this life naapa fomu fiti

Wanangu wote mi nawapa fomu fiti

Keep distance or Kipchoge naperform fit

Fomu ni gani fomu ni gani

Nakotoka kuna Buzwagi shingoni vidani

Kila nikidrop gold madini na off load

Makini hatua kila siku tuko vitani

Fomu ni gani fomu ni gani

Mulla sikuhizi umesanda yeah im making some money

Hata thamani imepanda sio kama zamani

Sikutereza na ganda nilichora ramani

Sikuhizi mademu juu ya kitanda nawachora na manii

Namaanisha nawachora na money

Pesa ndio currency ya kutoka sio kiki

Na ukitumia pesa usipotoka sihusiki

Tumia akili wewe

Biashara haikui kwa siku mbili wewe

Pombe, sigara, mademu sio Nvirii wewe

Itakua ngumu kutusua hiyo ndo siri wewe

展开显示全部歌词