Zilipendwa-Rayvanny

Zilipendwa

歌手:Rayvanny

专辑:Zilipendwa

时间:2017-08-26

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
猜你喜欢的歌曲
歌词

Zilipendwa - Rayvanny

Lyrics by:Diamond Platnumz/Harmonize/Lava Lava/Mbosso/Queen Darleen/Rayvanny/Rich Mavoko

Composed by:Diamond Platnumz/Harmonize/Lava Lava/Mbosso/Queen Darleen/Rayvanny/Rich Mavoko

Produced by:Lizer Classic

Oooo

Hizo ni zama za kale

Oooo

Sangulo mapepe kale

Zilipendwa ayo Lizer

Eh

Kizamani kutoa card na maua zilipendwa

Wanataka money ukilipa unakwarua zilipendwa

Ufundi kitandani sio maguvu kujikamua zilipendwa

Unafika ndani hujatomasa unachanua zilipendwa

Wanawake wa leo wanataka mikakati

Ukiwa mzogaji haki ya mungu huwapati zilipendwa

Mapenzi ya video yatakutoa kamasi

Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass zilipendwa

Eh kupiga chabo ghetto zilipendwa

Mkono na dettol zilipendwa

Sunche na kapeto zilipendwa

Majay na mobetto zilipendwa

Oooo

Hizo ni zama za kale

Oooo

Sangulo na pepe kale

Mm bolingo ndombolo zilipendwa

Twanga chipolopolo zilipendwa

Na maji ya kandoro zilipendwa

Simba wa Morogoro zilipendwa

Mtaani sipati sukari guru kabisa zilipendwa

Hivi yuko wapi MB Dog wa Latifa? zilipendwa

Babu tale wapi papa misifa? zilipendwa

Siku hizi party hatuendagi Ki-Ibiza zilipendwa

Mpira na pele zilipendwa

Tanu na nyerere zilipendwa

Asha ngedere zilipendwa

Arusi mabele zilipendwa

Eti uuze nyumba uweke heshima bar

Eti 'lazimishe aliyekukataa

Sabuni kicherema zilipendwa

Mabanda ya cinema zilipendwa

Lipumba na mlema zilipendwa

Diamond na wema zilipendwa

Oooo

Hizo ni zama za kale

Oooo

Sangulo na pepe kale

Mm aggy na soggy doggy zilipendwa

Chaneli analogy zilipendwa

Movie za saibogy zilipendwa

Van damme Arnold zilipendwa

Una nibeep nikupigie umeiweka vocha halo

Ule wewe nilipe mie umeniona lofa

Tena na madada wenye majina acheni visa

Unaitwa ukale dinner mnakwenda tisa

Nywele za kichina zilipendwa

Pochi za kuazima zilipendwa

Zena na betina zilipendwa

Bashite Gwajima zilipendwa

Oooo

Hizo ni zama za kale

Oooo

Sangulo na pepe kale

Mm Amitabh Bachchan zilipendwa

TV kwa jirani zilipendwa

Madee Rayvany zilipendwa

Zari Ivan zilipendwa

Yanini kunichunguza naishi wapi? zilipendwa

Nala chapati kwa maini au makange zilipendwa

Kutwa kunikalia chini unakamati

Oh ya Rabbi masikini kunidhihaki

Ah sampamba pangala zilipendwa

P Funk kajala zilipendwa

Onyango na jangala zilipendwa

Rufufu mkandala zilipendwa

Vya nini vidomo domo? tutupiane tunguli

Kisa pesa za mkopo msimu wa magufuli

Ah bongoman yondo zilipendwa

Sikinde msondo zilipendwa

Magari ya udongo zilipendwa

Babu wa loliondo zilipendwa

Oooo

Hizo ni zama za kale

Oooo

Sangulo na pepe kale

Ah TV za kichogo zilipendwa

Wakina mandojo zilipendwa

Giggy na Iyobo zilipendwa

Akina Hatupogo zilipendwa

Eti msiba ukiona bundi unataka kupagawa

Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa

Zuwena nitampata wapi? zilipendwa

Zuwena wa zile nyakati eh zilipendwa

Kujifanya mapanga sunna eti wamepinda

Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda

Iddi amini dada zilipendwa

Miuno ya H baba zilipendwa

Domo chai jabba zilipendwa

Michezo ya kibaba baba zilipendwa

Wale wapiga madeal sasa hali mbaya zilipendwa

Hizi zama za magufuli si za jakaya zilipendwa

Ugomvi wa mister Nice na Dudu Baya zilipendwa

Vikatuni vya madenge baba ubaya zilipendwa

Muhogo mchungu mister Bean wapi bambo?

Wale wazamiaji wa melini wazee wang'ambo

Hivi yuko wapi Benjamini wa Mambo jambo?

Wa Vietnam waporini vita na Rambo

Eh ndanda mjela jela zilipendwa

Kidali kombolela zilipendwa

Max na zembwela zilipendwa

Juma nature na ela zilipendwa

Oooo

Hizo ni zama za kale

Oooo

Sangulo na pepe kale

Mm kamanda daz nunda zilipendwa

Kalumanzila ndumba zilipendwa

Simu za dole gumba zilipendwa

Johari na Kanumba zilipendwa

Wasafii

Zilipendwa

Zilipendwa

Zilipendwa

Zilipendwa

Ohlelelilelelelile zilipendwa

Wasafi records

展开显示全部歌词