Safari-Papa Wemba
    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
猜你喜欢的歌曲
歌词

Safari - Papa Wemba/Viva La Musica

Maji yangu ya mecho imenitoka na huruma

Kwa kuona watu wawili wana kabulana

Mwengine naenda oh mwengine na bakia huruma

Juu ya safari eeh

Safari oh safari

Umeumiza moyo

Uende eh uende ndugu

Kisha masiku

Kwa nguvu ya mola

Tutaonana tena

Mimi leo naenda tumelakana nawe

Nikishafika takutumia mukanda

Takujulisha nimefika muzima

Safari eh

Safari eh

Safari umeumiza moyo

Uende eh uende ndugu

Kisha masiku kwa nguvu ya mola tutaonana tena

Watu wengine wanasafiri kwa ndege

Watu wengine wana safiri kwa mashua

Watu wengine wanasafiri kwa gari

Watu wengine wanasafiri kwa miguu

Safariii

Safariii

Safariii

Safariii

Safariii

Safariii eho

展开显示全部歌词