Mechi-Trio Mio

Mechi

歌手:Trio Mio

专辑:Mechi

时间:2023-09-23

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
歌词

Intro:

Very Nice..

Oweeeee.. Aaaanhuh!

Oweeeee.. Trio Mio

Oweeeee.. Mkurugenzi

Ooh oooh.. Iyo track ni ya Leo

Pre-Hook:

Tuko mechi

Man of the match Leo Messi

Shot ni finesse weka placing

Madude zinafungwa 'araka upesi

Ndani bila kesi -

Hook:

Aaaaa mechi (Mechi)

Songa na isaaa, mechi (Mechi)

Vile tu inafaaa, friendly (Mechi)

Songa na isaaa tuko mechi -

Leo tuko mechi

Verse 1:

Niko na mechi kuna kombora ina kutu

Nmeshinda bench leo lazima ntupe mguu juu

Nikiitia ndani grao itabaki ni nduru

Na stingo flani ndo maana wananiita guru -

Goal ya kwanza ibada lazma shati inatoka

Acha nkule yellow hii ni dimba inagongwa

Mpenzi mtazamaji hapa stima na water

Huu kijana machachari ako na experience ya kocha

"Walai naipenda"..

Unashinda ukijiuliza mahali next ntaiweka

Ai bazenga, half time refa

Nduki zinatumwa left right and center

I surrender

Nipe nikupe hii ni derby, usikonde

Wee ruka juu nkiseti kona ndio nkuone

Utamu ya ligi ni kushindania kikombe

Tempo inapandishwa pole pole

Unashtukia..

Pre-Hook:

Tuko mechi

Man of the match Leo Messi

Shot ni finesse weka placing

Madude zinafungwa 'araka upesi

Ndani bila kesi -

Hook:

Aaaaa mechi (Mechi)

Songa na isaaa, mechi (Mechi)

Vile tu inafaaa, friendly (Mechi)

Songa na isaaa tuko mechi -

Leo tuko mechi

Verse 2:

Hapa kipa akipanua anakula chobo

Vile napura hata ukikaza kanaponyox

Najitakia ndani ya box mtu solo

Napenetrate hiyo defense kama Ngolo

Kuna venye 90 minutes ni kidogo

Extra time n'ya kuwafikisha kikomo

Capitan nakupigisha kisomo

Mechi ukibembea unabebwa ndogo

Stadi ni kimwaki tunasakata kadimba

Penya kati kati namba saba wa la liga

Unaonyesha kipaji vile unacheza na mipira

Unaguzishwa handi kuna pena zinapigwa

Nipe nikupe hii ni derby, usikonde

Wee ruka juu'nkseti kona ndo'nkuone

Utamu ya ligi ni kushindania kikombe

Tempo inapandishwa pole pole

Unashtukia..

Pre-Hook:

Tuko mechi

Man of the match Leo Messi

Shot ni finesse weka placing

Madude zinafungwa 'araka upesi

Ndani bila kesi -

Hook:

Aaaaa mechi (Mechi)

Songa na isaaa, mechi (Mechi)

Vile tu inafaaa, friendly (Mechi)

Songa na isaaa tuko mechi -

Leo tuko mechi

Outro:

Oweeeee..

Oweeeee..

Oweeeee..

Ooh oooh..

展开显示全部歌词