
在手机上保存,获得更好体验
Baby gyal uko on firee aaaa
Unavonipa ni mbayaa maaama
Moyo wangu usha retire maaa
Awapendi unipe sanaaa aah
Basi naomba leo basi naomba leo
Unifundishe kitu mapenzi mapenzii
Basi naomba leo basi naomba leo
Unifundishe kitu mapenzi mapenzii
Umenishika ile mbayaa ooh la la
Mpka nafsi inaanza kupwaya oh la la
Moyo wangu una ganzi ile mbaya
Jana ilikua nuksi ulivonipa sikumbuki
Mkanda niliruka ruksi ye yeeeeh
Mpira pasi fupi fupi kucheza rafu
Sikumbuilki ah mpka natoa salute ye ye ye
Mama naomba leo basi na na leo
Unifundishe tena mapenzi mapenzii
Basi na na leo basi na na leo
Unifundisheee tena mapenzi mapenzii
Oh la la laaah
Umenishika ile mbayaa ooh la la
Mpka nafsi inaanza kupwaya oh la la
Moyo wangu una ganzi ile mbaya
Umenishika ile mbayaa ooh la la
Mpka nafsi inaanza kupwaya oh la la
Moyo wangu una ganzi ile mbaya
Oh la la laaah