Kama Unae-Rapcha

Kama Unae

歌手:Rapcha

时间:2021-09-24

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
猜你喜欢的歌曲
歌词

Kama unae

Kama unae kama unae

Kama unae mmoja mposti

Kama unae kama unae

Kama unae mmoja mposti

Babe tuna-match hawagusi

Staki kuvaa tena nuksi

Kucheat sasa nukta

Tunashare perfume hata nikikucheat harufu inanisuta

Post mpaka wakublock, huh! Safi!

Kama hawana bundle wasaidie WiFi

Wana jealous kuona sipepesi macho

Na we sio mwepesi, me i love nobody but you

you and I tu, sina option

Onesha kama unae mmoja weka caption

Watu hata ukijificha watakuchimba

Kama unae mmoja utamlinda

Bridge

Honey ukinimiss we ni text

Ama video call coz I’m here for you

Washakunaku wakikutest

Nipost kila time waboreke tu

Chorus

Kama unae

Kama unae kama unae

Kama unae mmoja mposti

Kama unae kama unae

Kama unae mmoja

Oooh aaah waoneshe

Vile ulivyo bomba wakomeshe

Oooh aaah waoneshe

Vile ulivyo bomba wakomeshe

Love, kwanza hawatuvishi unajua

Na wala hatuli kwao wanajitia kutujua

Mi sina story zao ila za kwetu wanajua

Si wanaweza na wao yanini kutusumbua!?

Sasa tutaenda beach mida ya sunset

Waalike marafiki kwenye engagement

Na kila tukio picha zitahusu

Tumwogope nani umri unaruhusu

I’m so proud of you, let them know that

Look how you are beautiful, oh my God!

Nahisi ndio naanza ku-date for the first time

Siko late, and I’m very glad that you’re mine

Bridge

Honey, wadada wengi wananicheck

Nawaambia hapana mi wako tu

Kabisa nimeweka break

Gari imezimika kwako tu

Kama unae

Kama unae kama unae

Kama unae mmoja mposti

Kama unae kama unae

Kama unae mmoja

Oooh aaah waoneshe

Vile ulivyo bomba wakomeshe

Oooh aaah waoneshe

Vile ulivyo bomba wakomeshe

展开显示全部歌词