Msela-Alikiba

Msela

歌手:Alikiba

专辑:Cinderella

时间:2007-01-01

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
猜你喜欢的歌曲
歌词

Pokea zangu salamu wangu mimi mwambie ameshakua nahitaji kukuoa

Kwanza uwe na mume utambe na uringe nami niwe na mke ili unichunge

Mng'aro wa nuru yako kama mbalamwezi na uzuri wa macho yako kama yana machozi

Eeh eeh Lupe eeh umeumbwa mama Lupe uwe wangu inapendeza

Lupe Lupe Lupe eeh Lupe we uwe wangu inapendeza uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii inapendeza

Lupe Lupe aah Lupe we uwe wangu inapendeza

Honeymoon wapi twende visiwani ama chini baharini au tupae angani

Mi papa sio judge nawe mama sio judge leo tufiche la ardhi wal adhal baudhi

Lupe Lupe Lupe (Lupela) umeumbwa mama Lupe wangu inapendeza

Lupe Lupe Lupe wee Lupe Lupe uwe wangu inapendeza uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii inapendeza

Lupe Lupe Lupe aah Lupe we uwe wangu inapendeza

Waite ite marafiki zako baba, mama yako wajee

Lupe Lupe eeh waje wacheze aah aah Lupe Lupela mamaa Lupe wewe natenaaa

Lupe Lupela

展开显示全部歌词