Wivu-Platform

Wivu

歌手:Platform

专辑:Wivu

时间:2023-01-20

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
猜你喜欢的歌曲
歌词

Verse 1

Mwenye kisura cha upole

Rangi yake chocolate

Uzuri kampa mama ooh mama

Cheko lake kama vaileti

Kisura chake yani baby face

Ananichanganya kanichanganya

Mwenzenu nimezunguka sijamuona kama yeye

Na hata ukizunguka huwezi mpata kama yeye

Jamani nimezunguka sijamuona kama yeye Eeh

Na hata ukizunguka huwezi mpata kama yeye

Chorus

Mi Nina wivu ooh wivu

Ooh baby mi nina wivu ooh wivu

Kusema ukweli mi ninawivu Ooh wivu

Ooh baby mi nina wivu ooh wivu

Kusema ukweli mi ninawivu

VES 2

Ushaniweza jamani kama ni dozi unanipatia

Tunafanya wakeshe ooh wakeshe macho wazi

Ooh mambo yako wazi wazi wazi wazi

Tuweke wazi kwa wazazi

Milele tuishi wote mimi na wewe my darling

展开显示全部歌词