Kosa Langu-Diamond Platnumz
    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
猜你喜欢的歌曲
歌词

Kosa Langu - Diamond Platnumz

Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack

Ah

Barua yako uliyotuma kwa ricardo momo nimeisoma

Ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenchoma

Eeh

Nliyo yategemea

Tofauti na nlicho kiona

Hata naandika hii barua

Huku roho yangu inansonona

Umesema nichane nguo

Pia funguo umeirudisha sawa

Simu niziweke kituo na sio chaguo

Nikome kabisa sawa

Umesema hata ile picha nzuri nliyo kukumbatia

Niichane sawa

Ila kinachoniumiza

Mbona moja umesahau

Kosa langu kosa langu

Hujaniambia

Na kuniacha peke yangu

Ukanikimbia

Ila mbona kosa langu

Hujaniambia

Nami nikabiki peke yangu

Ukanikimbia

Aah

Mbona ukanichimbia kaburi

Ningari bado mzima

Niife nizikwe vizuri

Nipotee kabisa kimya

Licha ya matendo mazuri

Kwa upendo na heshima

Moto ukachochea tanuri

Ukachoma wangu mtimaa

Natamani hata ningepata nafasi

Muda wakati kukutazama

Unione hata japo sura

Unitazame macho yangu

Mwenzako wimbi limenipiga kasi

Langu jahazi limezama

Mnyonge mwana sanura

Wee ndio ulikuwa furaha yangu

Tatizo hata nkilia wa kunifuta machozi sina

Sawa na gari lisio na gear

La kuiforce ipande mlima

Ndio maana siishi kulalama

Japo jibu moja tuu

Linaloniumiza

Mwenzio bado sijaelewa

Kosa langu kosa langu kosa langu

Hujaniambia hujaniambia

Na kuniacha peke yangu peke yangu

Ukanikimbia ukaenda

Ila mbona kosa langu kosa langu

Hujaniambia hujaniambia bado

Nami nikabi peke yangu peke yangu

Ukanikimbia ukaenda ooh

Oh moyo

Moyo wangu umevunjika una magongo

Oh moyo

Kila sehemu nayoshika kinyamazongo

Oh moyo

Hata chozi likifutika linabaki tongo

Oh moyo

Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo

Oh moyo

Moyo wangu umevunjika unaa jamani

Oh moyo

Hhhhmm hmm

展开显示全部歌词