NAIROBI FLY-Fredrick Mulla

NAIROBI FLY

专辑:NAIROBI FLY

时间:2023-11-14

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
歌词

I just woke up in Nairobi, namwaga sumu Nairobi fly

Find me nikita ni do the carrying turudi dar

Nijifunze sheng maneno kadhaa

Maana sitaki kuwa mwere kwenye hii mitaa

Mi Visualising Nairobi toka enzi za Masakuu

Leo niko hapa, ni kuride kwa matatu

Flecko alishachana kuhusu Peng ting ya kiambuu

Jinsi navyofanya hizi painting ma picha tu

Nairobi namwaga fleva ya Mkoa kando na daslam

Straight outta mji kasoro kama Dre na Compton

Na bless Wana na ndoto, mi ni Kavile taa mtaani

Kupiga bao usimuache Delila aku Sum son

Asee budaa hii track ni ngori

Nasikia warden yuko na scene za kunipandisha mori

Pull up na genge leta Glory

Acha maneno mengi Sema kidogo, leta wimbo ama story

Naweka heshima na Historia wanisome

Wakiuliza naishi wapi, waambie I'm living in the moment

Kuhusu wachawi niko poa sina contempt

Hata mkinitukana daima God win Gondwe

Wakati unalalama huu muziki aulipi

Si tunakwea mapipa tunaenda tu huu na muziki

I mean the point is, huu muziki ni Mpana na uko na una pesa nyingi

Ili kuzipata achana nazo focus kwenye msingi

Uuuuh na hapo ndipo watu wengi mnafeli

Kutofautisha opportunity na njaa ndani ya belly

Nawajua washikaji walio sign mikataba Kisa njaa

In exchange na kuku wengi waliojaa ndani deli

Nimechagua long walk to the freedom na Mandela

Wengi hamtaki long walk si mnapenda free mandela

Oya msela free yourself

Holla msela ukihitaji help

Ila in the meantime mi I'm catching flight sio mafua

Huku nikiskiza consistency ya Fivara nipige hatua

Mana kila hatua dua

Uliza kiatu, mi cha kwangu kitambo kilisha amua

Kwenda mbele kurudi nyumbani mina

Nguvu tele za kurudi nyuma sina

Karibu nitafika juu ya kilele cha mlima sinai

Naipeleka scene high na Hakuna wa ku deny

展开显示全部歌词