Nibebe-Aslay

Nibebe

歌手:Aslay

专辑:Nibebe

时间:2017-05-10

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
歌词

Nibebe - Aslay

Hmm

Labda mapenzi

Yawaumiza roho sana

Eti kwengine sipati

Sijiwezi

Ndo maneno wasema

Kwamba

Kwako sifurukuti sijiwezi

Ndivo hivyi wanavyio sema

Na mimi nanhamaza kimya

Nakupendaaa

Naogopaaa

Niki kuona nakua kimya

Sina cha kusema

Nakupendaa

Labda sinaga faranga

Nashuca kupanda

Ila nakupenda

Mimi kwako ni mjinga

Sinaga ujanja waache wanaoponda

Kama chumba mi dalaliii

Haaaa

Penzi letu lifique mbaaliii

Haaaaa

Nibebe bee nakupenda usiwe namakuu

BabyNibebe bee atakama nikininginiza miguu

Nibebe bee wanataka niwechini wao juu

Mpenzi wee ninbebe bee aaanhnn annnh

Nimesiki wamekuundia na group

Matusi matupu

Wanakunyanyasa wanakutukana

Jitoee

Usiwe mchonga vivyago utanifirisi

Mwisho wasiku tukigombana ikawa hadithii

Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi

Usie acha mifupa utakuwa fisii

Kama chumba midalaliaaanhnn

Penzi letu lifike mbalii aaanhnn

Nibebe bee nakupenda usiwe namakuu

Baby

Nibebe bee atakama nikininginiza miguu

Nibebe bee wanataka niwechini wao juu

Mpenzi wee ninbebe bee aaanhnn annnh

Nibebe bee nakupenda usiwe namakuu

Baby

Nibebe bee atakama nikininginiza miguu

Nibebe bee wanataka niwechini wao juu

Mpenzi wee ninbebe bee aaanhnn annnh

展开显示全部歌词