
在手机上保存,获得更好体验
Maskan wakipita wakaniona
Roho zao zinawachoma
Hawataki Nidake Salio “Namba”
Wametight kila kona
Masela eeh
Chap chap usikae tu kibwege
Kinstoni Ni kusiz na mbege
Bongo kaa Kuna ubwege
kinachotutesa ni umaskini chuki na ny*g*
Text moko DM kisha akanivutia waya
Nkaibuka Dar na mziki wanauskia now
Fame ndo imefanya saa hii mi nakoa
Pisi Kali ka mtoto wa hadija kopa now
And she be like baby
Kama utakua ready
Tuweke wazi mahusiano yetu kila page
Rick media Millard Ayo watuweke main page
It's Official en we on to the Next page
Bridge
Oyaaaeeeeehh Ohh nooo no
Mungu na masela
Mungu na masela
Chorus
Maskan wakipita wakaniona
Roho zao zinawachoma
Hawataki Nidake Salio “Namba”
Wametight kila kona
Verse 2
Washkaji Mnataka nini.. Cash Tu
Maskani Tunakula Nini.. Vitu
Bongo hatutoboi kisa nini.. Gubu
Na Wachumba wanataka nini.. Rungu
Nshashtuka Wanahate na na Wana paste
ila huwezi futa pale Jah anapobless
Mto nauvuka Mamba namcheki Sikwepeshi
Mbele Kuna Tuta Acha nikazie seat belt
Wakimind tutafutane tu fresh
Wanajua pakunipata Sio kesi
Machizi wa kweli tunajuana tu fresh
New friendsl I'm sorry