Party - Billnass/Mr Eazi/Nandy
Composed by:Oluwatosin Oluwole Ajibade/Faustina Nandera Charles Mfinanga
Chupa limeamka na chai au sio
Ned ned ned
Touch touch touch
The African Princess
Leta divai mixer mvinyo ah leo
Nione maisha vile yalivyo
'Taka nifurahi na my people ah leo
Pombe kali mixer Bibo
Ya nini nijibane shida zote za nini
Nitafute kwa taabu niile kwa taabu kwanini
Acha nitukane kane Tena kwa kujiamini ah yeah eh
Kama pesa ya kwangu maisha ya kwangu my baby eh
Call me when you ready eh eh eh eh
I just wanna get ready oh oh oh oh
Venye uko sexy sijiwezi eh eh eh eh
You are the only one my baby oh oh oh oh
I need you on bed eh eh eh
Leo nitakuwa Mbezi
Baada ya club kwani zile two in one
Home kinyamwezi yeah
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali tunapita kila chochoro semaga
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali tunapita kila chochoro ah woo
Mpaka giza totoro
Tunapita kila chochoro
Be my only I want your body ah leo
Nione maisha vile yalivyo ah leo
I play my s**t a million jale ah leo
Pombe kali mixer Bibo ah leo
Ona my girl she need truck
Mpe baba dry ila *** mpe mixer
Ona mashetani napandisha
Nishauza godoro na ile neti ilochanika
Hii collabo ina baraka ni Princess na mimi
Tuna bring old-school na kina Prince Madini
Nashangaa watoto wadogo wana battle na mimi
Kila kitu ruhusa watasema ni speech ya Mwinyi
Wazimie data maana watawasha VPN
Mi nadhani hakuna jipya ila wao ndio wageni
Mashokolo mageni watoto jipangeni
Hakuna msoto bila brain
Nauza miko mikocheni
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali tunapita kila chochoro semaga
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali tunapita kila chochoro ah woo
Ah leo
Ah leo
Ah leo
Zaga what
Zaga dat
You know say I get the stamina
Bongo chocho zote si' tunapita
Mm you know say I get the stamina
Bongo chocho zote si' tunapita
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali tunapita kila chochoro semaga
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali tunapita kila chochoro
Ah woo ah woo ah woo
Ah woo ah woo