ZEZE - TID/Jaymo
Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza
Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza
Mateso moyoni
Usiku silali hadithi sitaki nataka zeze
Penzi lako la thamani mtanashati jamani usiku silali nakupenda zezeee
Kama wanipenda
Kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembeleza
Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembeleza
Machungu sitaki
Zeze langu silapati
Mapepe sipendi
Mapepe sipendi penzi langu
Burudani niwapo kitandani zeze langu maanani
Zeze langu maanani
Kama wanipenda
Kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembeleza
Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza
Sitakiiii sipati sitakii sipendiii
Sipendi burudani burudani kitandani oh yeah
Manani manani manani
Mpenzi zeze vp sema basi
Unanikata
Mpenzi zeze kabala hijawa balaa
Usinilete maposi njoo kwa mwanasanaa
Punguza goz goz machizi watakushanga
Kama unanipenda njoo uniimbie lala bai
Njoo upige zeze tupati tuwe hai
Wanga wakisema nadhani usiku watalala
Zeze anapigiwa mjanja
Zeze apigiwi fala
Kama unanipenda kaninunulie si
Hatari kama uko tayari twende home tujivinjari
Jmo na TID ndani ya sauti ya
Dhahabu ni soo ongeza biidi wewe kwangu
Kama wanipenda
Kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembeleza
Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza
Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza
Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza