Tuachane Mdogo Mdogo - BARNABA
Step step
Hermash triki
Kurasa miki
Irmambade roda maisowan fif fi sound fif fi sound
Na spend muda na vavangaa
Najinadii kumbe wenzangu wana rambaa eboooo
Kila kitu unatambaa
Wajigamba wanionaa dugagambaa
Nilipoteza mudaa na ukaringaaa
Ukaniona mjingaa
Na umeharibu mipangoo
Nini spend muda kuwa chinii
Ili nikuwin umenitupaa ng'amboo
Kukupenda sababuu
Kukupenda sababuu
Moyo umeupa maumivuu
Moyo umeupa maumivuu
Hata bila sababuu
Hata bila sababuu
Moyo umeupa ghazabuu
Moyo umeupa ghazabuu
Kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa
Kukupenda ndo wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh
Tuachane mdogo mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo mdogo
Ya nini marambanoo na zogoo zogoo
Tuachane mdogo mdodo mdogo
Tuachane mdogo mdogo mdogo na me
Nikwache mdogo mdodo mdogo
Ya nini marambanoo na zogoo zogoo
Tuachane mdogo mdodo mdodo
Pornoooo
Nahisi nimeonewa eeeeh
Kwa haya nilifanyiwa eeeeh
Penzi langu bembea eeeeh
Wamebembea wengineeee
Shimo mwenyewe nilichimba
Ndo linalonizika najiuliza kwanini
Mapenzi yote nilimpaa
Angalia kulizika baada ya nyama ye akaleta mainiii
Kukupenda sababuu
Kukupenda sababuu
Moyo umeupa maumivuu
Moyo umeupa maumivuu
Hata bila sababuu
Hata bila sababuu
Moyo umeupa ghazabuuu
Moyo umeupa ghazabuuu
Kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa pelekaaa
Kukupenda ndo wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh
Tuachane mdogo mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo mdogo
Ya nini marambanoo na zogoo zogoo
Tuachane mdogo mdodo mdogo
Kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa pelekaaa
Kukupenda ndo wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh
Tuachane mdogo mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo mdogo
Ya nini marambanoo na zogoo zogoo
Tuachane mdogo mdogo you cadre you cadre
Heheee
Emma the boy
Heheee
Killing the beat
No no no nooo huooooo
Niliweka malengo nayeee
Ameharibu mwenendoo mwenendoo
Penzi kalitia pengoo pengoo mmmmmmmmh
Simung'unyii sihemiiii classic
Wanipelekaaa kutakuta wanipelekaaa eee
Wanipelekaaa kutakuta wanipelekaaa ee
I table say ooo
I table say ooo