
在手机上保存,获得更好体验
Sifuni Bwana
Haaa
Ametenda makuu
Fadhili zake
Heee
Hazichunguziki
Yea.
Sifuni Bwana
Haaa
Ametenda makuu
Fadhili zake
Heee
Hazichunguziki
Yea.
Sifuni Bwana
Haaa
Ametenda makuu
Fadhili zake
Heee
Hazichunguziki
Yea.
Macho yangu yameona
Matendo yake makuu
Amegawanya bahari
Katikati nimepita
Amenipa jina jipya
Tena jina la sifa
Sifa na utukufu
Nainua mikono
Sifuni Bwana
Haaa
Ametenda makuu
Fadhili zake
Heee
Hazichunguziki
Yea.
Nitakushukuru kwa maana
Umeiponya nafsi yangu
Kama ungehesabu maovu
Nani angesimama
Yesu Yesu
Yesu nakupenda
Yesu Yesu
Mwaminifu (Haaa)
Ndiwe ndiwe
Ndiwe waokoa
Ndiwe ndiwe
Mwaminifu uuh
Sifuni Bwana
Haaa
Ametenda makuu
Fadhili zake
Heee
Hazichunguziki
Yea.
Sifuni Bwana
Haaa
Ametenda makuu
Fadhili zake
Heee
Hazichunguziki