Starehe-Jeusi mc

Starehe

歌手:Jeusi mc

专辑:Starehe

时间:2024-04-05

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
歌词

Wororo wororoo wororo wororoo

Babaaaaaaaaa

Prakachaaa pampoooosh

Aaaah nikiwa jeusi mc hapaa

Ohh jamani mke wangu ananikera

Anapenda starehe

Kurudi asubuhi ye ndio zake starehe

We we dazen mke wangu ananikera

Anapenda starehe

Kutwa kwenye mabar ye ndio zake starehee

Acha ujiingaaaa

We nimekuoa

Acha ujiingaaaa

Nimekuweka ndani

Acha ujiingaaaa

We nimekuoa

Acha ujiingaaaa

Nimekuweka ndani

Unarudi asubuhi na viatu mkononi

Wala aibu huonichumba ya pombe mkononi

Umetoka ulongoni? Mbona kama sikusomi

Ukirudi umelewa unalala jikoni

Unanivunjiaaa heshimaa

Unanipakazia mke wangu

Unanivunjiaaa heshimaaa

Unanipakazia mke wangu

Hauna muda wa kupika

Kutwa kubandika kuchaaa

Hauna muda wa kupika

Kutwa kubandika kuchaaa

Ananipa changamotoakicheza baikoko

Eti kuna kirobotoanapiga gongo la mboto

Unataka dela mtoko kuji snap ndio zako

Peke yako na wenzako

Wanapenda kudangaaaa

Wanapenda kudangaaaa

Usisikie mapenzimapenzi yanaumizaa

Mapenziiiiiiiiiiiiiiiii

Usisikie mapenzimapenzi yanautesaa

Ooh mapenziiiiiiiiiiiiiiiii

Muone baba shadya ashalia na mapenzi

Na hivi leo mi nalilia mapenzi

Wengine washajinyonga

Sababu ya mapenzi

Mapenzi jamaniiiiii iiiiiiiiiiii

Wengine washajifia

Eti kisa mapenzi

Mapenzi kitu gani eeeeeeeh

Eeeeeeeh eeeeeeeh eeeeeeeh

Ohh jamani mke wangu ananikera

Anapenda starehe

Kurudi asubuhi ye ndio zake starehe

We dazen mke wangu ananikera

Anapenda starehe

Kutwa kwenye mabar ye ndio zake starehee

Acha ujiingaaaa

We nimekuoa

Acha ujiingaaaa

Nimekuweka ndani

Acha ujiingaaaa

We nimekuoa

Acha ujiingaaaa

Nimekuweka ndani

Ooh jamani ukirudi unanikera

Kitandani unatapikia

Weee kitandaniiii

Ooh jamani ukirudi unaniboa

Kitandani unakojolea

Weee kitandaniiiii

Mamaaa

Analala njekwa ofa ofa za bia

Anajisahaukwa ofa ofa za bia

Anakesha barkwa ofa ofa za bia

Ananidharau kwa ofa ofa za bia

Kwa ofa ofa za bia

Kwa ofa ofa za bia

Kwa ofa ofa za bia

Kwa ofa ofa za bia

Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nete waliwangashiiii

Aaaah nikiwa jeusi mc bwanaaaa

展开显示全部歌词