Roho yangu-Dena Mwana

Roho yangu

歌手:Dena Mwana

专辑:Hosanna

时间:2011-05-15

    使用手机浏览器「扫一扫」

    在手机上保存,获得更好体验

标签
歌词

Roho yangu - Dena Mwana

Composed by:Dena Muwayi Mwanakitata

Sijuwe nitete ye je

Kwani maneno ya mimenipita aah

Nguvu na Ukwabwa pendo lako

Huwezi ku pimwa

Hujuwa niya zangu uuh

Baba hujuwa uga wangu ouuh

Maneno yangu machache kukueleza

Upendo wangu kwako

Sikiliza roho yangu baba

Moyo wangu hukuimbiya

Sikiya nyembo ya upendo ooouh

Wa mutoto uliye mkombowa aah

Nita chukuwa maneno yangu mabovo

Kutangaza ukubwa wako

Kwa kweli siwezi

Kusema chochote

Baba sikiya Roho Yangu

Aaaaaaaah

Aaaaaaah ouh aaaah

Sasa kama nvuwa

Maneno yangu yangu tiririka aah

Ninge Kuwa na minugu mikononi mwangu

Singeweza kusema

Ila ndani ya roho yangu ooouh

Baba hujuwa yote eiiii

Aksante kwa maisha ukweli njiya

Baba ubarikiwe

Sikiliza roho yangu baba

Moyo wangu hukuimbiya

Sikiya nyembo ya upendo ooouh

Wa mutoto uliye mkombowa aah

Nita chukuwa maneno yangu mabovo

Kutangaza ukubwa wako

Kwa kweli siwezi

Kusema chochote

Baba sikiya Roho Yangu

Sikiliza roho yangu baba

Moyo wangu hukuimbiya

Sikiya nyembo ya upendo ooouh

Wa mutoto uliye mkombowa aah

Nita chukuwa maneno yangu mabovo

Kutangaza ukubwa wako

Kwa kweli siwezi

Kusema chochote

Baba sikiya Roho Yangu

Humm

Kwa kweli siwezi

Kusema chochote

Baba sikiya Roho Yangu

Baba baaaaaba

Baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa

Baaaaaaaaa ah

Baabababababa

Kweli siwezi

Kusema chochote eii

Baba wangu

Babaaa

Kwa kweli siwezi

Sema chochote

Sikiya Roho Yangu

展开显示全部歌词