
在手机上保存,获得更好体验
A message to your father
Mwambie nimewacha ujana
Na pombe sitakunywa
Sitakunywa mbele yake
Another message to your mother
Mwambie nimejua kukaranga
Lakini chunga asijue,ilikuwa kwa jikoni yake
But most of all let them know that I love you
Let them know that I care
Na tumewa alika sherehe
Leo ni siku yangu na we
Fungua champagne lets celebrate
A message to your brothers
Tafadhali wasinikimbize, hivyo wanavyokulinda zaidi nitakulinda
Hio wajue
Another message to your sisters
Wajue sijawai kukuficha chochote
Sirir ni ya wawili tu
Just me and you
But most of all let them know that I love you
Let them know that I care
Na tumewa alika sherehe
Leo ni siku yangu na we
Fungua champagne lets celebrate
And this my message to you
That You’re the miracle I’ve been praying for
The Miracle I’ve been waiting for ,
Ohh and I hope
That I’m the miracle you’ve been praying for
The miracle you’ve been waiting for
And the world will know that I love you
Let them know that I care
Na tumewa alika sherehe leo ni siku yangu na we
Fungua champagne na tulewe .